Nehemia 7:3
Nikawaambia, “Malango ya Yerusalemu yasifunguliwe hadi jua litakapokuwa limepanda. Walinzi wa malango wakiwa bado kwenye zamu, waamuru wafunge milango na waweke makomeo. Pia wateueni wenyeji wa Yerusalemu wawe walinzi, kila mmoja kwenye lindo lake, na wengine karibu na nyumba zao wenyewe.”Nehemia 7:3 katika ulimwengu halisi
Wapi
Kwa maneno gani
- גּוּףgûwphproperly, to hollow or arch, i.e. (figuratively) close; to shut
- חֹםchômheat
- מִשְׁמָרmishmâra guard (the man, the post or the prison); a deposit (figuratively); also (as observed) a
- אָחַזʼâchazto seize (often with the accessory idea of holding in possession)
- מִשְׁמֶרֶתmishmerethwatch, i.e. the act (custody), or (concretely) the sentry, the post; objectively preservat
- דֶּלֶתdelethsomething swinging, i.e. the valve of adoor
- שֶׁמֶשׁshemeshthe sun; by implication, the east; figuratively, a ray, i.e. (architectural) a notched bat
- פָּתַחpâthachto open wide (literally or figuratively); specifically, to loosen, begin, plough, carve
+maneno 6 zaidi katika mstari huu
Maneno ya Kiebrania na Kiyunani yaliyo nyuma ya mstari huu. Ulinganisho wa neno kwa neno utakuja na tafsiri ya mstari-kwa-mstari.
