Marko 12:28
Mwalimu mmoja wa sheria akaja, akawasikia wakijadiliana. Akiona kwamba Isa amewajibu vyema, naye akamuuliza, “Katika amri zote, ni ipi iliyo kuu?”Marko 12:28 katika ulimwengu halisi
Kwa maneno gani
- συζητέωsyzētéōto investigate jointly, i.e. discuss, controvert, cavil
- καλῶςkalōswell (usually morally)
- ποῖοςpoîosindividualizing interrogative (of character) what sort of, or (of number) which one
- ἐπερωτάωeperōtáōto ask for, i.e. inquire, seek
- ἐντολήentolḗinjunction, i.e. an authoritative prescription
- γραμματεύςgrammateús
- προσέρχομαιprosérchomaito approach, i.e. (literally) come near, visit, or (figuratively) worship, assent to
- πρῶτοςprōtosforemost (in time, place, order or importance)
+maneno 8 zaidi katika mstari huu
Maneno ya Kiebrania na Kiyunani yaliyo nyuma ya mstari huu. Ulinganisho wa neno kwa neno utakuja na tafsiri ya mstari-kwa-mstari.