Yeremia 33:14
“ ‘Siku zinakuja,’ asema Mwenyezi Mungu, ‘wakati nitakapotimiza ahadi yangu ya rehema niliyoifanya kwa nyumba ya Israeli na kwa nyumba ya Yuda.Yeremia 33:14 katika ulimwengu halisi
Nani
Kwa maneno gani
- נְאֻםnᵉʼuman oracle
- טוֹבṭôwbgood (as an adjective) in the widest sense; used likewise as a noun, both in the masculine
- קוּםqûwmto rise (in various applications, literal, figurative, intensive and causative)
- דָבַרdâbarperhaps properly, to arrange; but used figuratively (of words), to speak; rarely (in a des
- דָּבָרdâbâra word; by implication, a matter (as spoken of) or thing; adverbially, a cause
- בַּיִתbayitha house (in the greatest variation of applications, especially family, etc.)
- יוֹםyôwma day (as the warm hours), whether literal (from sunrise to sunset, or from one sunset to
- יִשְׂרָאֵלYisrâʼêlJisrael, a symbolical name of Jacob; also (typically) of his posterity
+maneno 2 zaidi katika mstari huu
Maneno ya Kiebrania na Kiyunani yaliyo nyuma ya mstari huu. Ulinganisho wa neno kwa neno utakuja na tafsiri ya mstari-kwa-mstari.
Marejeleo mtambuka
Jer 23:5, Hag 2:6–9, 2Co 1:20, 1Ch 17:13–14, Gen 49:10, Zep 3:15–17, Isa 32:1–2, Jer 31:31–34