Isaya 43:17
aliyeyakokota magari ya vita na farasi, jeshi pamoja na askari wa msaada, nao wakalala huko, wala hawatainuka tena kamwe, wakakomeshwa, na wakazimika kama utambi:Isaya 43:17 katika ulimwengu halisi
Wapi
Kwa maneno gani
- עִזּוּזʻizzûwzforcible; collectively and concretely, an army
- דָּעַךְdâʻakto be extinguished; figuratively, to expire or be dried up
- כָּבָהkâbâhto expire or (causatively) to extinguish (fire, light, anger)
- רֶכֶבrekeba vehicle; by implication, a team; by extension, cavalry; by analogy a rider, i.e. the upp
- יַחַדyachadproperly, a unit, i.e. (adverb) unitedly
- סוּסçûwça horse (as leaping); also a swallow (from its rapid flight)
- שָׁכַבshâkabto lie down (for rest, sexual connection, decease or any other purpose)
- חַיִלchayilprobably a force, whether of men, means or other resources; an army, wealth, virtue, valor
+maneno 2 zaidi katika mstari huu
Maneno ya Kiebrania na Kiyunani yaliyo nyuma ya mstari huu. Ulinganisho wa neno kwa neno utakuja na tafsiri ya mstari-kwa-mstari.
Marejeleo mtambuka
Exo 14:4–9, Isa 1:31, Rev 20:8–9, Psa 118:12, Psa 76:5–6, Ezk 38:8–18, Isa 14:20–22, Rev 19:17–21
