Nitamwadhibu yeye, watoto wake na watumishi wake kwa ajili ya uovu wao. Nitaleta juu yao na wote wanaoishi Yerusalemu na watu wa Yuda kila maafa niliyoyasema dhidi yao, kwa sababu hawajasikiliza.’ ”
Скопируйте этот HTML на свой сайт — свободное использование, без ключей, без слежки. Добавьте ?theme=light или ?theme=dark к адресу, чтобы подошло к вашей странице.