Ndipo mfalme akamtuma mkuu mmoja wa kikosi pamoja na kikosi chake cha askari hamsini kwa nabii Ilya. Yule mkuu wa kikosi akamwendea Ilya, aliyekuwa ameketi juu ya kilima, na kumwambia, “Mtu wa Mungu, mfalme anasema, ‘Shuka chini!’ ”
Скопируйте этот HTML на свой сайт — свободное использование, без ключей, без слежки. Добавьте ?theme=light или ?theme=dark к адресу, чтобы подошло к вашей странице.