“ ‘Kwa hiyo, ninyi lazima mweze kutofautisha kati ya wanyama walio safi na wasio safi, pia kati ya ndege wasio safi na walio safi. Msijitie unajisi kutokana na mnyama yeyote, au ndege, wala kiumbe chochote kinachotambaa juu ya ardhi, ambavyo nimevitenga kuwa najisi kwa ajili yenu.
Скопіюйте цей HTML на свій сайт — вільне використання, без ключів, без стеження. Додайте ?theme=light або ?theme=dark до адреси, щоб пасувало вашій сторінці.