“Kama simba anayepanda kutoka vichaka vya Yordani kuja kwenye nchi ya malisho mengi, ndivyo nitakavyomfukuza Edomu kutoka nchi yake ghafula. Ni nani aliye mteule nitakayemweka kwa ajili ya jambo hili? Ni nani aliye kama mimi, na ni nani awezaye kunipinga? Tena ni mchungaji yupi awezaye kusimama kinyume nami?”
Скопіюйте цей HTML на свій сайт — вільне використання, без ключів, без стеження. Додайте ?theme=light або ?theme=dark до адреси, щоб пасувало вашій сторінці.