Kwa hiyo, mfalme akaondoka na kuketi kwenye kiti chake langoni. Watu walipoambiwa, “Mfalme ameketi langoni,” watu wote wakamjia. Daudi arudi Yerusalemu Wakati huo, Waisraeli walikuwa wamekimbilia nyumbani mwao.
Скопіюйте цей HTML на свій сайт — вільне використання, без ключів, без стеження. Додайте ?theme=light або ?theme=dark до адреси, щоб пасувало вашій сторінці.