Kisha Mwenyezi Mungu akamwambia Haruni, “Mimi mwenyewe nimekuweka kuwa mwangalizi wa sadaka zote zitakazotolewa kwangu; matoleo yote matakatifu Waisraeli wanayonipa ninakupa wewe na wanao kuwa sehemu yenu na fungu lenu la milele.
Kopyahin ang HTML na ito sa iyong site — malayang gamitin, walang susi, walang pagsubaybay. Idagdag ang ?theme=light o ?theme=dark sa address para tumugma sa iyong pahina.