Basi Musa akamwambia Hobabu mwana wa Reueli, Mmidiani, mkwewe Musa, “Tunaondoka kwenda mahali ambapo Mwenyezi Mungu amesema ‘Nitawapa ninyi mahali hapo.’ Twende pamoja, nasi tutakutendea mema, kwa maana Mwenyezi Mungu ameahidi mambo mema kwa Israeli.”
Kopyahin ang HTML na ito sa iyong site — malayang gamitin, walang susi, walang pagsubaybay. Idagdag ang ?theme=light o ?theme=dark sa address para tumugma sa iyong pahina.