Absalomu nduguye akamuuliza, “Je, huyo Amnoni ndugu yako, amekutana nawe kimwili? Sasa nyamaza dada yangu; yeye ni ndugu yako. Usilitie jambo hili moyoni.” Naye Tamari akaishi nyumbani mwa Absalomu nduguye, akiwa mwanamke mwenye huzuni.
Kopyahin ang HTML na ito sa iyong site — malayang gamitin, walang susi, walang pagsubaybay. Idagdag ang ?theme=light o ?theme=dark sa address para tumugma sa iyong pahina.