Warumi 7:3
Hivyo basi, kama huyo mwanamke ataolewa na mwanaume mwingine wakati mumewe akiwa bado yuko hai, ataitwa mzinzi. Lakini kama mumewe akifa, mwanamke huyo hafungwi tena na sheria ya ndoa, naye akiolewa na mtu mwingine haitwi mzinzi.Warumi 7:3 katika ulimwengu halisi
Kwa maneno gani
- μοιχαλίςmoichalísan adulteress (literally or figuratively)
- χρηματίζωchrēmatízōto utter an oracle (compare the original sense of G5530 (χράομαι)), i.e. divinely intimate
- ἐλεύθεροςeleútherosunrestrained (to go at pleasure), i.e. (as a citizen) not a slave (whether freeborn or man
- ἄραáraa particle denoting an inference more or less decisive (as follows)
- ἀποθνήσκωapothnḗskōto die off (literally or figuratively)
- ἕτεροςhéteros(an-, the) other or different
- ζάωzáōto live (literally or figuratively)
- εἶναιeînaito exist
+maneno 10 zaidi katika mstari huu
Maneno ya Kiebrania na Kiyunani yaliyo nyuma ya mstari huu. Ulinganisho wa neno kwa neno utakuja na tafsiri ya mstari-kwa-mstari.
Marejeleo mtambuka
Exo 20:14, Mat 5:32, Mrk 10:6–12, Lev 20:10, 1Ti 5:11–14, Jhn 8:3–5, Deu 22:22–24, Rut 2:13