Zaburi 21:7
Kwa kuwa mfalme anamtumaini Mwenyezi Mungu; kwa upendo usiokoma wa Aliye Juu Sana hatatikiswa.Zaburi 21:7 katika ulimwengu halisi
Nani
Kwa maneno gani
- עֶלְיוֹןʻelyôwnan elevation, i.e. (adj.) lofty (compar.); as title, the Supreme
- בָּטַחbâṭachfiguratively, to trust, be confident or sure
- חֵסֵדchêçêdkindness; by implication (towards God) piety; rarely (by opposition) reproof, or (subject.
- מֶלֶךְmeleka king
- יְהֹוָהYᵉhôvâhJehovah, Jewish national name of God
Maneno ya Kiebrania na Kiyunani yaliyo nyuma ya mstari huu. Ulinganisho wa neno kwa neno utakuja na tafsiri ya mstari-kwa-mstari.