Hesabu 9:13
Lakini mtu aliyetakasika na hayuko safarini asipoiadhimisha Pasaka, mtu huyo hana budi kukatiliwa mbali na watu wake kwa sababu hakutoa sadaka ya Mwenyezi Mungu kwa wakati ulioamriwa. Mtu huyo atawajibika kubeba matokeo ya dhambi yake.Hesabu 9:13 katika ulimwengu halisi
Nani
Kwa maneno gani
- פֶּסַחpeçacha pretermission, i.e. exemption; used only techically of the Jewish Passover (the festival
- חָדַלchâdalproperly, to be flabby, i.e. (by implication) desist; (figuratively) be lacking or idle
- קׇרְבָּןqorbânsomething brought near the altar, i.e. a sacrificial present
- טָהוֹרṭâhôwrpure (in a physical, chemical, ceremonial or moral sense)
- מוֹעֵדmôwʻêdproperly, an appointment, i.e. a fixed time or season; specifically, a festival; conventio
- קָרַבqârabto approach (causatively, bring near) for whatever purpose
- כָּרַתkârathto cut (off, down or asunder); by implication, to destroy or consume; specifically, to cov
- דֶּרֶךְdereka road (as trodden); figuratively, a course of life or mode of action, often adverb
+maneno 6 zaidi katika mstari huu
Maneno ya Kiebrania na Kiyunani yaliyo nyuma ya mstari huu. Ulinganisho wa neno kwa neno utakuja na tafsiri ya mstari-kwa-mstari.
Marejeleo mtambuka
Gen 17:14, Exo 12:15, Num 9:7, Num 15:30–31, Num 5:31, Lev 17:14–16, Heb 6:6, Num 19:13