Hesabu 7:37
Sadaka aliyoleta ilikuwa: sahani moja ya fedha yenye uzito wa shekeli mia moja na thelathini, na bakuli moja la fedha la kunyunyizia lenye uzito wa shekeli sabini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, vikiwa vimejazwa unga laini uliochanganywa na mafuta kuwa sadaka ya nafaka;Hesabu 7:37 katika ulimwengu halisi
Kwa maneno gani
- קְעָרָהqᵉʻârâha bowl (as cut out hollow)
- מִזְרָקmizrâqa bowl (as if for sprinkling)
- מִשְׁקָלmishqâlweight (numerically estimated); hence, weighing (the act)
- בָּלַלbâlalto overflow (specifically with oil.); by implication, to mix; to fodder
- שֶׁקֶלsheqelprobably a weight; used as a commercial standard
- סֹלֶתçôlethflour (as chipped off)
- מָלֵאmâlêʼfull (literally or figuratively) or filling (literally); also (concretely) fulness; adverb
- קׇרְבָּןqorbânsomething brought near the altar, i.e. a sacrificial present
+maneno 8 zaidi katika mstari huu
Maneno ya Kiebrania na Kiyunani yaliyo nyuma ya mstari huu. Ulinganisho wa neno kwa neno utakuja na tafsiri ya mstari-kwa-mstari.