Hesabu 4:16
“Eleazari mwana wa Haruni, kuhani, ndiye atakayesimamia mafuta kwa ajili ya taa, uvumba wenye harufu nzuri, sadaka za kila siku za nafaka na mafuta ya upako. Ndiye atakayekuwa msimamizi wa maskani yote ya Mungu na kila kitu kilicho ndani yake, pamoja na samani takatifu na vyombo vyake.”Hesabu 4:16 katika ulimwengu halisi
Kwa maneno gani
- מָאוֹרmâʼôwrproperly, a luminous body or luminary, i.e. (abstractly) light (as an element); figurative
- סַםçaman aroma
- מִשְׁחָהmishchâhunction (the act); by implication, a consecratory gift
- פְּקֻדָּהpᵉquddâhvisitation (in many senses, chiefly official)
- קְטֹרֶתqᵉṭôretha fumigation
- אֶלְעָזָרʼElʻâzârElazar, the name of seven Israelites
- תָּמִידtâmîydproperly, continuance (as indefinite extension); but used only (attributively as adjective
- מִשְׁכָּןmishkâna residence (including a shepherd's hut, the lair of animals, figuratively, the grave; als
+maneno 6 zaidi katika mstari huu
Maneno ya Kiebrania na Kiyunani yaliyo nyuma ya mstari huu. Ulinganisho wa neno kwa neno utakuja na tafsiri ya mstari-kwa-mstari.