Adui zake wamekuwa mabwana zake, watesi wake wana amani. Mwenyezi Mungu amemletea huzuni kwa sababu ya dhambi zake nyingi. Watoto wake wameenda uhamishoni, wamekuwa mateka mbele ya adui.
Nakili HTML hii kwenye tovuti yako — matumizi huru, bila funguo, bila kufuatiliwa. Ongeza ?theme=light au ?theme=dark kwenye anwani ili ilingane na ukurasa wako.