“Hili ndilo Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, Mungu wa Israeli, asemalo: ‘Sikilizeni! Nitaleta juu ya mji huu pamoja na vijiji vinavyouzunguka kila maafa niliyosema dhidi yake, kwa sababu wamekuwa na shingo ngumu, na hawakuyasikiliza maneno yangu.’ ”
Nakili HTML hii kwenye tovuti yako — matumizi huru, bila funguo, bila kufuatiliwa. Ongeza ?theme=light au ?theme=dark kwenye anwani ili ilingane na ukurasa wako.