Wagalatia 3:15
Ndugu zangu, nataka nitoe mfano kutoka maisha ya kila siku. Kama vile hakuna mtu awezaye kutangua au kuongeza kitu katika agano la mtu ambalo limekwisha kuthibitishwa, vivyo hivyo kwa hali kama hii.Wagalatia 3:15 katika ulimwengu halisi
Kwa maneno gani
- κυρόωkyróōto make authoritative, i.e. ratify
- ὅμωςhómōsat the same time, i.e. (conjunctionally) notwithstanding, yet still
- ἀθετέωathetéōto set aside, i.e. (by implication) to disesteem, neutralize or violate
- διαθήκηdiathḗkēproperly, a disposition, i.e. (specially) a contract (especially a devisory will)
- οὐδείςoudeísnot even one (man, woman or thing), i.e. none, nobody, nothing
- ἤḗdisjunctive, or; comparative, than
- ἀδελφόςadelphósa brother (literally or figuratively) near or remote (much like G1 (Α))
- κατάkatá(prepositionally) down (in place or time), in varied relations (according to the case (gen
+maneno 2 zaidi katika mstari huu
Maneno ya Kiebrania na Kiyunani yaliyo nyuma ya mstari huu. Ulinganisho wa neno kwa neno utakuja na tafsiri ya mstari-kwa-mstari.