Ezekieli 45:4
Itakuwa sehemu takatifu ya nchi kwa ajili ya makuhani, wale wanaohudumu ndani ya mahali patakatifu na ambao hukaribia ili kuhudumu mbele za Mwenyezi Mungu. Patakuwa mahali pa nyumba zao pamoja na sehemu kwa ajili ya mahali patakatifu.Ezekieli 45:4 katika ulimwengu halisi
Nani
Kwa maneno gani
- קָרֵבqârêbnear
- מִקְדָּשׁmiqdâsha consecrated thing or place, especially, a palace, sanctuary (whether of Jehovah or of id
- שָׁרַתshârathto attend as a menial or worshipper; figuratively, to contribute to
- מָקוֹםmâqôwmproperly, a standing, i.e. a spot; but used widely of a locality (general or specific); al
- קֹדֶשׁqôdesha sacred place or thing; rarely abstract, sanctity
- כֹּהֵןkôhênliterally one officiating, a priest; also (by courtesy) an acting priest (although a layma
- בַּיִתbayitha house (in the greatest variation of applications, especially family, etc.)
- אֶרֶץʼeretsthe earth (at large, or partitively a land)
+maneno 1 zaidi katika mstari huu
Maneno ya Kiebrania na Kiyunani yaliyo nyuma ya mstari huu. Ulinganisho wa neno kwa neno utakuja na tafsiri ya mstari-kwa-mstari.
Marejeleo mtambuka
Ezk 40:45, Ezk 43:19, Num 16:5, Ezk 44:13–14, Ezk 48:10–11, Ezk 45:1, Ezk 44:28