Kutoka 11:10
Musa na Haruni wakafanya maajabu haya yote mbele ya Farao, lakini Mwenyezi Mungu akaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu, wala hakuwaachia Waisraeli waondoke katika nchi yake.Kutoka 11:10 katika ulimwengu halisi
Kwa maneno gani
- מוֹפֵתmôwphêtha miracle; by implication, a token or omen
- פַּרְעֹהParʻôhParoh, a general title of Egyptian kings
- חָזַקchâzaqto fasten upon; hence, to seize, be strong (figuratively, courageous, causatively strength
- אַהֲרוֹןʼAhărôwnAharon, the brother of Moses
- לֵבlêbthe heart; also used (figuratively) very widely for the feelings, the will and even the in
- מֹשֶׁהMôshehMosheh, the Israelite lawgiver
- שָׁלַחshâlachto send away, for, or out (in a great variety of applications)
- פָּנִיםpânîymthe face (as the part that turns); used in a great variety of applications (literally and
+maneno 4 zaidi katika mstari huu
Maneno ya Kiebrania na Kiyunani yaliyo nyuma ya mstari huu. Ulinganisho wa neno kwa neno utakuja na tafsiri ya mstari-kwa-mstari.