Danieli 3:7
Kwa hiyo, mara waliposikia sauti ya baragumu, filimbi, marimba, zeze, kinubi, zumari, na aina zote za sauti za ala za uimbaji, watu wa makabila yote, na mataifa, na wa kila lugha wakasujudu na kuiabudu ile sanamu ya dhahabu ambayo Mfalme Nebukadneza alikuwa ameisimamisha.Danieli 3:7 katika ulimwengu halisi
Nani
Kwa maneno gani
- זְמָרzᵉmârinstrumental music
- זַןzansort
- מַשְׁרוֹקִיmashrôwqîya (musical) pipe (from its whistling sound)
- סַבְּכָאçabbᵉkâʼa lyre
- פְּסַנְטֵרִיןpᵉçanṭêrîynpsalterion; a lyre
- קִיתָרֹסqîythârôça lyre
- לִשָּׁןlishshânspeech, i.e. a nation
- קָלqâl{a voice or sound}
+maneno 15 zaidi katika mstari huu
Maneno ya Kiebrania na Kiyunani yaliyo nyuma ya mstari huu. Ulinganisho wa neno kwa neno utakuja na tafsiri ya mstari-kwa-mstari.