Matendo Ya Mitume 2:29
“Ndugu zangu Waisraeli, nataka niwaambie kwa uhakika kwamba baba yetu wa zamani Daudi alikufa na kuzikwa, nalo kaburi lake lipo hapa hadi leo.Matendo Ya Mitume 2:29 katika ulimwengu halisi
Nani
Kwa maneno gani
- πατριάρχηςpatriárchēsa progenitor ("patriarch")
- μνῆμαmnēmaa memorial, i.e. sepulchral monument (burial-place)
- θάπτωtháptōto celebrate funeral rites, i.e. inter
- τελευτάωteleutáōto finish life (by implication, of G979 (βίος)), i.e. expire (demise)
- παῤῥησίαparrhēsíaall out-spokenness, i.e. frankness, bluntness, publicity; by implication, assurance
- ἔξεστιéxestiso also neuter present participle of the same (with or without some form of G1510 (εἰμί) e
- ΔαβίδDabídDabid (i.e. David), the Israelite king
- ἄχριáchri(of time) until or (of place) up to
+maneno 14 zaidi katika mstari huu
Maneno ya Kiebrania na Kiyunani yaliyo nyuma ya mstari huu. Ulinganisho wa neno kwa neno utakuja na tafsiri ya mstari-kwa-mstari.