2 Samweli 3:8
Abneri akakasirika sana kwa sababu ya kile Ish-Boshethi alichosema, naye akamjibu, “Je, mimi ni kichwa cha mbwa, kwa upande wa Yuda? Siku hii ya leo mimi ni mtiifu kwa nyumba ya baba yako Sauli, kwa jamaa yake na rafiki zake. Sijakukabidhi kwa Daudi, lakini bado unanilaumu kwa kosa la kuhusika na huyu mwanamke!2 Samweli 3:8 katika ulimwengu halisi
Lini
Kwa maneno gani
- מֵרֵעַmêrêaʻa friend
- אִישׁ־בֹּשֶׁתʼÎysh-BôshethIsh-Bosheth, a son of King Saul
- כֶּלֶבkeleba dog; hence (by euphemism) a male prostitute
- אַבְנֵרʼAbnêrAbner, an Israelite
- חָרָהchârâhto glow or grow warm; figuratively (usually) to blaze up, of anger, zeal, jealousy
- עָוֺןʻâvônperversity, i.e. (moral) evil
- חֵסֵדchêçêdkindness; by implication (towards God) piety; rarely (by opposition) reproof, or (subject.
- פָּקַדpâqadto visit (with friendly or hostile intent); by analogy, to oversee, muster, charge, care f
+maneno 15 zaidi katika mstari huu
Maneno ya Kiebrania na Kiyunani yaliyo nyuma ya mstari huu. Ulinganisho wa neno kwa neno utakuja na tafsiri ya mstari-kwa-mstari.