2 Samweli 18:2
Daudi akatuma vikosi vya askari: theluthi moja ilikuwa chini ya amri ya Yoabu, theluthi ya pili chini ya Abishai mwana wa Seruya nduguye Yoabu, na theluthi ya tatu chini ya Itai, Mgiti. Mfalme akaviambia vikosi, “Hakika mimi mwenyewe nitaenda pamoja nanyi.”2 Samweli 18:2 katika ulimwengu halisi
Wapi
Lini
Kwa maneno gani
- אִתַּיʼIttayIttai or Ithai, the name of a Gittite and of an Israelite
- גִּתִּיGittîya Gittite or inhabitant of Gath
- אֲנִיʼănîyI
- אֲבִישַׁיʼĂbîyshayAbishai, an Israelite
- צְרוּיָהTsᵉrûwyâhTserujah, an Israelitess
- שְׁלִישִׁיshᵉlîyshîythird; feminine athird (part); by extension, a third (day, year or time); specifically, a
- יוֹאָבYôwʼâbJoab, the name of three Israelites
- אָחʼâcha brother (used in the widest sense of literal relationship and metaphorical affinity or r
+maneno 8 zaidi katika mstari huu
Maneno ya Kiebrania na Kiyunani yaliyo nyuma ya mstari huu. Ulinganisho wa neno kwa neno utakuja na tafsiri ya mstari-kwa-mstari.
Marejeleo mtambuka
Jdg 7:16, 2Sa 15:19–22, Psa 3:6, Jdg 7:19, Jdg 9:43, 2Sa 17:11, Psa 118:6–8, 1Sa 11:11
