2 Mambo Ya Nyakati 9:6
Lakini sikuamini mambo yaliyosemwa hadi nilipokuja na kuona kwa macho yangu mwenyewe. Naam, sikuambiwa hata nusu yake; katika hekima na mali umezidi sana kuliko ile taarifa niliyoisikia.2 Mambo Ya Nyakati 9:6 katika ulimwengu halisi
Kwa maneno gani
- מַרְבִּיתmarbîytha multitude; also offspring; specifically interest (on capital)
- שְׁמוּעָהshᵉmûwʻâhsomething heard, i.e. an announcement
- אָמַןʼâmanproperly, to build up or support; to foster as a parent or nurse; figuratively to render (
- חֵצִיchêtsîythe half or middle
- חׇכְמָהchokmâhwisdom (in a good sense)
- יָסַףyâçaphto add or augment (often adverbial, to continue to do a thing)
- נָגַדnâgadproperly, to front, i.e. stand boldly out opposite; by implication (causatively), to manif
- עַיִןʻayinan eye (literally or figuratively); by analogy, a fountain (as the eye of the landscape)
+maneno 4 zaidi katika mstari huu
Maneno ya Kiebrania na Kiyunani yaliyo nyuma ya mstari huu. Ulinganisho wa neno kwa neno utakuja na tafsiri ya mstari-kwa-mstari.
Marejeleo mtambuka
Sng 5:9–16, 1Ki 4:31, 1Ki 4:34, Jhn 20:25–29, 2Ch 9:5, 1Ki 10:7, Zec 9:17, Psa 31:19