2 Mambo Ya Nyakati 29:35
Kulikuwa na sadaka nyingi za kuteketezwa, pamoja na mafuta ya wanyama ya sadaka za amani na sadaka za kinywaji ambazo ziliambatana na sadaka za kuteketezwa. Kwa hiyo huduma ya Hekalu la Mwenyezi Mungu ikarudishwa kwa upya.2 Mambo Ya Nyakati 29:35 katika ulimwengu halisi
Nani
Kwa maneno gani
- נֶסֶךְneçeka libation; also a cast idol
- חֶלֶבchelebfat, whether literally or figuratively; hence, the richest or choice part
- שֶׁלֶםshelemproperly, requital, i.e. a (voluntary) sacrifice in thanks
- עֲבֹדָהʻăbôdâhwork of any kind
- רֹבrôbabundance (in any respect)
- כּוּןkûwnproperly, to be erect (i.e. stand perpendicular); hence (causatively) to set up, in a grea
- עֹלָהʻôlâha step or (collectively, stairs, as ascending); usually a holocaust (as going up in smoke)
- בַּיִתbayitha house (in the greatest variation of applications, especially family, etc.)
+maneno 1 zaidi katika mstari huu
Maneno ya Kiebrania na Kiyunani yaliyo nyuma ya mstari huu. Ulinganisho wa neno kwa neno utakuja na tafsiri ya mstari-kwa-mstari.
Marejeleo mtambuka
Num 15:5–10, Exo 29:13, Lev 3:15–16, 1Ch 16:37–42, Gen 35:14, Lev 23:13, 1Co 14:40, Ezr 6:18