2 Mambo Ya Nyakati 18:5
Kwa hiyo mfalme wa Israeli akawaleta pamoja manabii, wanaume wapatao mia nne, akawauliza, “Je, twende vitani dhidi ya Ramoth-Gileadi, au niache?” Wakajibu, “Naam, nenda kwa kuwa Mungu ataiweka Ramoth-Gileadi mkononi mwa mfalme.”2 Mambo Ya Nyakati 18:5 katika ulimwengu halisi
Wapi
Nani
Kwa maneno gani
- רָמֹת גִּלעָדRâmôth GilʻâdRamoth-Gilad, a place East of the Jordan
- חָדַלchâdalproperly, to be flabby, i.e. (by implication) desist; (figuratively) be lacking or idle
- גִּלְעָדGilʻâdGilad, a region East of the Jordan; also the name of three Israelites
- קָבַץqâbatsto grasp, i.e. collect
- אַרְבַּעʼarbaʻfour
- מִלְחָמָהmilchâmâha battle (i.e. the engagement); generally, war (i.e. warfare)
- נָבִיאnâbîyʼa prophet or (generally) inspired man
- מֵאָהmêʼâha hundred; also as a multiplicative and a fraction
+maneno 9 zaidi katika mstari huu
Maneno ya Kiebrania na Kiyunani yaliyo nyuma ya mstari huu. Ulinganisho wa neno kwa neno utakuja na tafsiri ya mstari-kwa-mstari.