Nao watumishi wa Akishi wakamwambia, “Je, huyu si ndiye Daudi mfalme wa nchi? Je, huyu si ndiye yule ambaye wanaimba katika ngoma zao wakisema: “ ‘Sauli amewaua elfu zake, naye Daudi makumi elfu yake’?”
Nakili HTML hii kwenye tovuti yako — matumizi huru, bila funguo, bila kufuatiliwa. Ongeza ?theme=light au ?theme=dark kwenye anwani ili ilingane na ukurasa wako.